Vikundi vipya huanza kwa approval

Omba akaunti mpya ya kikundi kwa onboarding ya kitaalamu.

Wasilisha kwanza taarifa za kikundi na za mwenyekiti. Ombi litakaguliwa, kikundi kitaanzishwa, kisha utaingia kuendelea na setup ya wanachama, policies, na shughuli za akaunti.
Hatua ya 1: Tuma ombi Weka utambulisho wa kikundi, mawasiliano ya mwenyekiti, na makadirio ya idadi ya wanachama.
Hatua ya 2: Uhakiki na idhini Ombi litakaguliwa kabla access ya akaunti haijawashwa.
Hatua ya 3: Kamilisha setup Baada ya approval, mwenyekiti ataingia na kuendelea na viongozi, wanachama, balances, na rules.
Rudi kwenye welcome page
Una akaunti tayari? Ingia